October 26, 2014

Pepe ameamua kufunguka na kumjibu kiungo mkongwe wa Barcelona, Xavi Hernández aliyesema Real Madrid hawakuwa na soka la kuvutia zaidi ya ushambulia kwa kushitukiza tu.

Pepe amesema walirejea kipindi cha pili wakiwa na hamu ya ushindi, wakiwa wamejiandaa.
“Tulitaka kushinda na tukafanikiwa kuugeuza mchezo katika kipindi cha pili.
“Tuna kikosi bora, kushinda Ligi ya Mabingwa si bahati ni uhakika, hivyo anayekutana na sisi lazima ajue anacheza na timu bora.
“Tunajua tuna deni na tunatakiwa kufanya kazi yaz iada baada ya hapa,” alisema Pepe ambaye alifunga bao la pili wakati Real ikiadhibu Barca kwa mabao 3-1 licha ya kuanza kufunga kupitia Neymar.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic