October 26, 2014


Kumekuwa na hofu kubwa kwamba baadhi ya mashabiki wanaokwenda kuangalia mechi kati ya Chelsea dhidi ya Manchester United, wanaweza kuchelewa.

Imeelezwa mashabiki hao wanaweza kuchelewa kutokana na njia moja ya treni kuharibika.
Hivyo wakashauriwa kutumia njia nyingine ya London kwenda katika Uwanja wa Old Trafford.
Walitakiwa wapitie Sheffield lakini kukawa na hofu ya kuchelewa maana safari itakuwa ndefu kwa takribani saa mbili na nusu.
Uongozi wa Chelsea umesema mechi hiyo itachezwa katika muda uliopangwa awali, hivyo hakutakuwa na mabadiliko na wahusika wakuu ni wenyeji Man United.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic