Kikundi maarufu cha
mashabiki na wanachama wa Simba cha Ukawa, kimevamiwa na majambazi.
Ukawa walivamiwa na
majambazi juzi usiku wakiwa njiani kwenda Mbeya.
Majambazi hao wakiwa na
mapanga na silaha nyingine waliwavamia Ukawa katika eneo Melela mkoani
Morogoro.
Hata hivyo hakukuwa na
madhara yoyote lakini gari walilokuwa wamepanda lilivunjwa vioo.
Simba Ukawa wanasifika kwa
kuwa na pumzi ya kutosha kushangilia mwanzo mwisho wakati mechi inaendelea.
0 COMMENTS:
Post a Comment