November 21, 2014

ADEBAYOR AKIWA NA MAMA YAKE

Mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor amekanusha vikali taarifa kwamba alimfukuza kwenye nyumba mama yake mzazi kwa madai kuwa ni mshirikina.

Dada yake Adebayor aitwaye Maggie aliyasema hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha Peace FM cha nchini Ghana.
Maggie alisema Adebayor alikataa katakata kumpa mama yake fedha ya kutumia kwa mwaka mzima.

Dada huyo aliyetoa taarifa ya mama yao kutimuliwa, pia alisema kutokana na ukosefu wa fedha alilazimika kuuza barabarani mifuko ya ‘plastiki’.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic