November 21, 2014


Kocha anayemnoa bondia Manny Pacquiao amesema kijana wake anastahili kushinda mechi yake ya kuamkia kesho mapema katika raundi ya kwanza.

Freddie Roach ametamba Pacquiao yuko katika kiwango cha juu na anaweza kufanya maajabu katika pambano hiilo dhidi ya Chris Algieri  kwenye Ukumbi wa Cotai Arena.
Tayari tiketi zimeuzwa zote na bondia Algieri, Mmarekani ametamba kushinda.
Pacquiao anataka kushinda pambano hilo ili kuamsha matumaini ya kupata nafasi ya kuzichapa na mkali
Floyd ‘Money man’ Mayweather.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic