November 27, 2014

VIATU MAALUM.
 Mshambuliaji wa timu ya Wolveshampton, Bakary Sako ameonyesha furaha yake kubwa kufikisha mechi ya 100 akiichezea klabu hiyo ya daraja la kwanza England.

Sako ametengeneza viatu maalum ili kuonyesha amefikisha mechi ya 100.
Sako amekuwa tegemeo la mashambulizi katika kikosi cha Wolves ambayo inapambana kurejea Ligi Kuu England.
HATA 'CAVA' LA SMU NI YEYE NA WOLVEHAMPTON.

SAKO AKIWA KAZINI.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic