November 27, 2014

 Mshambuliaji wa timu ya Bastia, Brandao amehukumiwa na mahakama kwenda jela mwezi mmoja kutokana na kosa la kumpiga kichwa kiungo wa wa Paris St Germain, Thiago Motta.


Brandao anakwenda jela ikiwa ni baada ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) kumfungia kucheza soka kwa miezi sita, pia kumpiga faini ya pauni 16,000.

Hata hivyo, imeelezwa huenda adhabu hiyo ya mwezi mmoja, inaweza kugeuzwa ili afanye kazi za kuitumikia jamii.
Mshambuliaji huyo alimshambulia Thiago kwenye njia ya kwenda vyumbani baada ya kuwa wamezozana mchezoni.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic