November 29, 2014


Ukubwa dawa bana! Mickey Rourke mwenye umri wa miaka 62, amemchakaza bondia Elliot Seymour kwa KO katika raundi ya pili tu.

Katika pambano hilo la kulipwa, Seymour mwenye miaka 29 alishindwa kuvumilia makonde ya babu kizee huyo na kusalimu amri.

Mabondia hao wanatofautiana miaka 33 kiumri, lakini mtu mzima ndiye aliyeshinda.

Lilikuwa ni pambano la raundi tano, lakini hizo mbili za mwanzo zilitosha kwa mkongwe huyo aliyewahi kuwa nyota wa mieleka katika miaka ya 1990 na mchezaji filamu wa Hollywood, kufanya mambo yake.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic