November 30, 2014

SIKU YA PAMBANO..

 Hii ni kashfa! Yule bondia aliyepigwa na na bondia mzee imebainika kuwa ilikuwa ni mechi iliyopangwa.
Katika pambano hilo la kimataifa lililofanyika Moscow, Russia, Mickey Rourke ,62, alimpiga Elliot Seymour ,29, kwa KO.

Hali hiyo ilionyesha kuwashangaza wengi kwa kuwa tofauti ya mabondia hao ni miaka 33.

Lakini taarifa zinaonyesha Seymour si bondia hasa pia ni mtu asiye na makazi.
Mmoja wa watu wa karibu na familia ya bondia huyo, wamesema Seymour  hakuwa akifanya kazi ya ngumi tena.
...AKIWA NA NYOTA, OSCAR DE LA HOYA

Wameeleza Seymour  alikuwa hana makazi na alilipwa fedha ili akacheze na kujiangusha aonekane amepigwa na babu huyo nyota wa zamani wa Hollywood aonekane ameng’ara dhidi yake.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic