Kiungo Dirk Kuyt, ametupia
picha kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter akionyesha ujuzi wake wa mchezo wa
Kung Fu.
Kuyt raia wa Uholanzi
anayekipiga Besiktas ya Uturuki ameonyesha namna alivyo na uwezo wakati akiwa
gym.
Tayari kumekuwa na taarifa
kiungo huyo wa zamani wa Liverpool ana mpango wa kurejea kwenye Ligi Kuu
England.
Inaelezwa, Kuyt mwenye
mapafu ya ‘mbwa’ huenda akajiunga na Southampton.
0 COMMENTS:
Post a Comment