November 28, 2014

 Mashabiki watatu walivamia uwanjani wakati Tottenham ikipambana na Partizan Belgrade katika mechi ya Ligi ya Europa ambayo ilikuwa ‘suspended’.

Mashabiki hao walivamia uwanjani na kuanza kupiga picha ‘selfie’ na wachezaji wa Spurs.
Kwa kuwa walikuwa wakiingia kila baada ya muda mchache, ilimlazimu mwamuzi kuwarudisha wachezaji vyumbani.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic