AMTRE AKIWAELEKEZA JAMBO VIJANA WAKE. |
Kocha Msaidizi wa zamani wa Simba, Richard Amatre sasa ni bosi wa Lipuli ya Iringa.
Amatre aliyekuwa msaidizi Simba kipindi bosi akiwa ni Milovan Cirkovic, amekuwa akiinoa Lipuli inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Tanzania Bara.
Juzi alionekana akiwa katika benchi alipoiongoza timu yake kuishinda Villa Squad ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment