Bosi wa kutengo cha tiba cha timu ya taifa ya Croatia, Boris
Nemec ametangaza kuwa kiungo Luka Modric huenda akakaa nje ya uwanja hadi kwa
mechi sita.
Iwapo
atakaa nje, maana yake Modric atazikosa mechi za fainali za Kombe la Dunia kwa
klabu zitakazopigwa nchini Morocco.
Michuano hiyo itachezwa nchini Morocco kuanzia Desemba 10 hadi 20 katika miji miwili na itashirikisha timu saba kutoka mabara sita duniani.
Michuano hiyo itachezwa nchini Morocco kuanzia Desemba 10 hadi 20 katika miji miwili na itashirikisha timu saba kutoka mabara sita duniani.
"Inaonekana ameumia kwa kweli, kama utazungumzia
nilivyoona, basi atalazimika kukaa nje hadi wiki sita," alisema Nemec.
0 COMMENTS:
Post a Comment