November 18, 2014


Nyota kadhaa, Cristiano Ronaldo, Neymar, Drogba na Phillip Lahm wameingia na kuunga mkono kampeni za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kupambana na ugonjwa wa ebola.


Lengo la kampeni hiyo ni kuwasaidia madaktari wa Afrika na kutoka nje kupambana na vita hiyo ya ebola.



Pamoja na Drogba, Ronaldo, Neymar, nyota wengine walioingia kwenye kampeni hiyo ni Pep Guardiola na Jerome Boateng (Bayern Munich), Xavi Hernández na Gerard Piqué (Barcelona), Raphaël Varane na Gareth Bale (Real Madrid), George Davies anayetokea Sierra Leone lakini anakipiga Greuther Fürth na Mnigerian John Obi Mikel (Chelsea).

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic