November 17, 2014

Beki wa kati wa Barcelona, Gerard Pique amewakata maini wanaodhani ana mpango wa kuondoka.

Pique amesema hata kidogo hana mpango wa kuondoka Barcelona.
“Hapa ndipo yalipo maisha yangu, sijawahi kufikiria kuondoka.
“Nitaendelea kupambana kwa juhudi kuu ili niendelee kupata nafasi ya kucheza na kuisaidia klabu yangu,” alisema Pique.

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwa Pique anaweza kuondoka na amekuwa hana furaha Barcelona.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic