Mshambuliaji wa Arsenal,
Alexis Sanchez ameendelea kutupia nyavu baada ya kuifungia timu yake ya taifa
bao la kwanza wakati ikiitwanga Venezuela kwa mabao 5-0.
Chile ikiwa nyumbani
imeonyesha kiwango cha juu na bao hilo la mapema la Sanchez lilichangia kuamsha
morali.
Sanchez aliyejiunga na
Arsenal akitokea Barcelona, amekuwa kati ya tegemeo la upachikaji mabao katika
kikosi hicho cha Arsene Wenger.
0 COMMENTS:
Post a Comment