Nyota wa zamani Manchester United, Cristiano
Ronaldo amekutana tena na rafiki yake, Anderson.
Wawili hao walikuwa wakiitumikia Manchester
United kwa pamoja kabla ya Ronaldo kuondoka na kwenda Real Madrid.
Wawili hao walijumuika na Ricardo Quaresma
anayeichezea timu ya taifa ya Ureno pia ambayo itaongozwa na Ronaldo kuivaa
Argentina ya Lionel Messi katika mechi ya kirafiki itakayopigwa kwenye Uwanja
wa Old Trafford jijini Manchester.
0 COMMENTS:
Post a Comment