December 2, 2014

Sergio Aguero ameibuka kidedea na kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kupitia tuzo ambayo hutolewa na mashabiki wa soka.

Tuzo hiyo hutolewa na Chama cha Mashabiki wa Soka na Aguero ndiye amekuwa kinara.

Muargentina huyo sasa ni kinara wa mabao England na anaonekana kuwa mmoja wa washambuliaji hatari zaidi watatu wa juu England.
Katika utolewaji wa tuzo hizo jana kwenye Ukumbi wa St Pancras Renaissance Hotel in London, Aguero aliongozana na mpenzi wake, Karina Tejeda.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic