December 17, 2014


Thierry Henry amekuwa mchambuzi wa michezo anayelipwa zaidi.
Kwampuni ya Sky itakuwa ikimlipa zaidi ya pauni milioni 1.2 anazolipwa Gary Neville.

Pamoja na dili hilo la juu, Henry bado ana nafasi ya kufanya kazi kwenye runinga nyingine maarufu kama BBC.


Hata hivyo, Henry ambaye ametundika daruga, hataruhudiwa kufanya kwa wapinzani wakubwa wa Sky, runinga ya BT Sport.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic