December 15, 2014


Kiungo wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’, anatarajia kumalizana na Friends Rangers leo.

Friends Rangers ya daraja la kwanza imekuwa ikipambana kupanda ligi kuu.
Katibu Mkuu wa Friends Rangers, Herry Mzozo amesema wameshafanya mazungumzo na Boban na wako katika hatua nzuri.

“Tuko katika hatua nzuri, tunaamini Jumatatu tutamalizana naye na kuwahi kabla ya kufungwa kwa dirisha,” alisema Mzozo.


Boban amekaa msimu mzima bila ya kuichezea timu yoyote.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic