December 15, 2014


Kocha wa Mbeya City, Juma Mwambusi ameonekana akipiga stori na Hamisi Kiiza wa Yanga.

Mwambusi alifanya hivyo wakati Yanga na Simba wakipambana kwenye Nani Mtani Jembe kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Mazungumzo yao yalionyesha yakisisitiza jambo huku Kiiza ambaye ametemwa Yanga kumpisha Mliberia, Kpah Sherman akielezea kitu fulani kwa muda mrefu.

Alipoulizwa Mwambusi kama ilikuwa ni sehemu ya kumshawishi Mganda huyo kutua Mbeya City, yeye alisisitiza hakuwa yeye.


“Mimi! Sijazungumza na Kiiza labda umenifananisha,” alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic