Kiungo Cesc Fabregas wa Chelsea ndiye
mchezaji aliyekimbia umbali mrefu zaidi katika Premier League hadi sasa.
Nyota huyo amekimbia zaidi ya maili 100 na
hesabu hizo zilikamilika katika mechi ambayo Chelsea iliibuka na ushindi wa
mabao 3-0 dhidi ya Tottenham.
Raia huyo wa Hispania tokea amerejea London
na kujiunga na Chelsea amekuwa moto wa kuotea mbali.
2014/2015: UMBALI WALIOKIMBIA PREMIER LEAGUE
TIMU UMRI MECHI MITA MAILI
Cesc Fabregas Chelsea 27 14 164,081 101.96
Nemanja Matic Chelsea 26 14 162,906 101.22
Jake Livermore Hull
City 25 14 161,122 100.12
Ki Sung-Yueng Swansea
25 14 159,399 99.05
Steven N'Zonzi Stoke
City 25 14 156,525 97.26
Gylfi Sigurdsson Swansea
25 14 155,787 96.80
Morgan Schneiderlin Southampton 25 13 151,730 94.28
Daryl Janmaat Newcastle 25 14 150,763 93.68
Jack Colback Newcastle
25 13 150,661 93.62
Dusan Tadic Southampton 26 14 150,292 93.39








0 COMMENTS:
Post a Comment