December 15, 2014


Amissi Tambwe sasa ni mchezaji huru na timu yoyote inaweza kumsajili.



Tambwe amezungumza na SALEHJEMBE na kusema yuko tayari kwenda Yanga kama ofa itakuwa nzuri.

"Kwanza niwashukuru mashabiki wa Simba, ni watu wazuri, tumekaa pamoja tokea mwaka juzi.

"Kwenda timu nyingine naweza, Mbeya City na Mtibwa walinitaka, nikawaambia waniache kwanza nikapumzike nyumbani.
"Kuhusu Yanga, wakinipa ofa nzuri, basi ninaweza kwenda kama ofa itakuwa nzuri. Ndugu yangu Saleh mpira ni kazi yangu, Simba wameniacha, sasa nifanyeje," alisema Tambwe akionyesha unyonge.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic