December 12, 2014


 Unaweza kusema mambo yamekwiva, pambano kati ya Amir Khan dhidi ya Devon Alexander sasa limebakia kuonekana ulingoni tu.

Mabondia hao wawili, Khan kutoka Uingereza na Devon wa Marekani wanapanda ulingoni kesho jijini Las Vegas kumaliza ubishi.

Kila mmoja wao anawania kuzichapa dhidi ya mfalme wao Floyd Mayweather.
Mabondia hao walitishiana kila mmoja akionyesha mbwembwe kwamba ana uhakika wa kushinda.

Kila mmoja ametamba kwamba atashinda pambano hilo. acha tusubiri, majibu utayapata hapahapa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic