December 12, 2014

SHERMAN (KUSHOTO) KUTOKA LIBERIA, AYO (KULIA) KUTOKA HAPAHAPA BONGO.

Katika maswali yaliyokuwa majibu kwa blog hii jana ni lile la kufananishwa kwa mshambuliaji mpya wa Yanga, Kpah Sherman na mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Millard Ayo.

Wawili hao wanaonekana kufanana sana na mashabiki walituma ujumbe kwa SMS na barua pepe wakitaka kujua kama wana undugu.

Hata hivyo, Sherman ni raia wa Liberia wakati Millard ni Mtanzania ‘pure’.


Hivyo inaonekana wazi wawili hao hawana ukaribu, lakini wamefanana kupitia ‘Uafrika’!, mama sisi sote ni ndugu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic