December 2, 2014


Kipa Petr Cech wa Chelsea, ameonyesha kuwa ana vipaji kibao.

Ametupia video kwenye mtandao wa youtube akipiga drums kwa ubora wa juu kabisa.
Cech alikuwa akipiga na pia kuimba, hali inayoonyesha ana uwezo wa sanaa na si soka pekee.

Kipa huyo amekuwa akikaa benchi katika kikosi cha Chelsea, tokea Kocha Jose Mourinho alipoamua kumrudisha Mbelgiji, Thibaut Courtois aliyekuwa akicheza kwa mkopo katika kikosi cha Atletico Madrid.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic