December 12, 2014

SHERMAN AKISAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUICHEZEA YANGA, LEO.
Kpah Sherman amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga.

Mshambuliaji huyo raia wa Liberia amesaini mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili leo jioni.

Mkataba wake mpya unaweka rekodi mpya ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Liberia kuichezea Yanga.


SHERMAN (KULIA) AKIWA NA MENEJA WA YANGA, HAFIDHI SALEH.
Timu pekee iliyowahi kuwa na mchezaji Mliberia ni Simba ambayo ilimiliki William Fanbullar ambaye alikipiga kuanzia mwaka 1997 hadi 1999.

Tayari Sherman amefanya mazoezi mara mbili na kikosi chake cha Yanga na sasa yuko tayari kwa ajili ya mechi ya kesho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic