Uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye wakati mgumu
kwenye kuamua nani aondoke kati ya Wabrazil wawili, Emerson na Coutinho.
Lakini mwisho inaonekana panga limemuangukia
Emerson ambaye ameichezea Yanga mechi moja tu ya kirafiki dhidi ya Simba.
Kiungo huyo mkabaji alicheza kama kiungo
mshambuliaji na kushindwa kung’ara.
Hali ambayo imewafanya Yanga waamue kumtupia
virago.
0 COMMENTS:
Post a Comment