December 12, 2014

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Mshambuliaji mpya wa Simba, Danny Sserunkuma amesema yeye si mtu wa maneno mengi sana.

Badala yake anapenda kufanya kazi inayoonekana hasa uwanjani.
“Kwa kweli Yanga nawajua, ni timu nzuri lakini nisingependa kusema maneno.
“Mimi si mtu wa maneno mengi, acha tukiingia uwanjani tutajua hukohuko,” alisema.

Sserunkuma yuko kambini na kikosi cha Simba mjini hapa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic