December 12, 2014

Wanamasumbwi wawili maarufu na wanaoonekana kuwa ni maadui wakubwa David Haye na Vital Klitschko wamekutana na kunywa kifungua kinywa pamoja.

Haye na Klitschko walikutana katika moja ya hoteli maarufu za mjini London, England na kupata kifungua kinywa pamoja.
Baadaye Haye alitupia picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram akionyesha wako pamoja wakinywa chai.
Alieleza kwamba walizungumza mambo mbalimbali ya kifamilia, kikazi hadi kisiasa.
Wawili hao wamekuwa na upinzani mkubwa katika uzito wa juu.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic