January 10, 2015

MAPUNDA (WA nne KULIA) AKIWA NA WACHEZAJI WENZAKE WA SIMBA KWENYE UWANJA WA AMAAN, ZANZIBAR.

Na Zaidi Mwinshehe
Kipa Ivo Mapunda yuko tayari kuanza kuitumikia Simba baada ya kurejea kundini.



Ivo alichelewa kujiunga na Simba kutokana na kwenda kumalizia arobaini ya kifo cha mzazi wake.

Simba inaivaa Polisi Zanzibar katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kwenye wa Amaan mjini hapa.

Lakini sasa amejiunga na wenzake na kufanya mazoezi chini ya Kocha Goran Kopunovic.

Hivyo kocha huyo atakuwa na chaguo kubwa kati ya Peter Manyika aliyedaka mechi zote za Kombe la Mapinduzi na mkongwe huyo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic