January 10, 2015


Liverpool imezidi kujiongezea pointi kwenye Ligi Kuu England baada ya ushindi wa bao 1-0 ikiwa ugenini dhidi ya Sunderland.


 Ushindi huo shukurani kwa L. Markovic ambaye alifunga bao hilo katika dakika ya 9 tu baada ya mabeki wa Sunderland kujichanganya.

Liverpool ilijitahidi kutawala mchezo kwa vipindi vyote na iliendelea kuwakamata zaidi Sunderland baada ya mchezaji wao mmoja kutolewa kwa kadi nyekundu.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic