Azam
FC imekaa kileleni mwa Ligi Kuu Bara baada ya kuichakaza Kagera Sugar mabao
3-1.
Katika
mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, mashujaa wa Azam FC
walikuwa ni Didier Kavumbagu aliyefunga mabao mawili na Kipre Tchetche bao
moja.
Azam
FC imefikisha pointi 20 na kuiacha Mtibwa Sugar na Ruvu JKT yenye pointi 17
kila moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment