Kocha Hans van der Pluijm
ameendelea na mazoezi kukinoa kikosi chake kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers
jijini Dar es Salaam.
Mazoezi hayo yalikuwa ni kasi
pamoja na kucheza mpira kwa pasi za harakaharaka.
Tokea Pluijm amerejea Yanga,
ameingoza Yanga kucheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara na zote imetoka sare.
Sare ya mabao 2-2 dhidi ya Azam
FC na 0-0 dhidi ya Ruvu Shooting Jumamosi iliyopita.
0 COMMENTS:
Post a Comment