WATAKAOIFUNGA YANGA LEO TAIFA WATAJWA
Nyota wa zamani wa klabu ya soka ya Simba, King Kibadeni Mputa, amesema anawaamini zaidi wachezaji wa Simba wako vizuri kuliko Yanga kwakuwa wana kikosi bora kwa hivi sasa Katika ligi kuu Tanzania Bara.
Kibaden anaamini matokeo katika mchezo huo yatabebwa na Simba ambapo watacheza leo majira ya saa 11 jioni.
100%
ReplyDelete100%
ReplyDeletekikosi Bora Kingefungwa na Mbao na Kutoa suluhu na Ndanda
ReplyDeleteMbona hicho ndo kimeifunga Mwadui hamjasema? Mechi za mikoani ni ngumu, Yanga imecheza mechi zote nyumbani, ila itakapokwenda ugenini utajiuliza mara mbilimbili.
ReplyDelete