KOCHA MKUU WA SIMBA, GORAN KOPUNOVIC AMEENDELEA KUKIFUA KIKOSI CHAKE KATIKA MAZOEZI AMBAYO YANALENGA KUONGEZA KAZI NA NGUVU. KOPUNOVIC AMEKUWA AKIKIFUA KIKOSI CHAKE KWENYE UWANJA WA BOKO NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM AKISEMA WANAENDELEA KUFANYA MABADILIKO KADHAA KUTOKANA NA MECHI WALIZOCHEZA.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment