January 10, 2015


Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amepata ajali eneo la Mlima Kitonga.


Taarifa zinasema Sugu ambaye pia ni msanii mkongwe wa muziki wa hip hop na shabiki wa Mbeya City na Arsenal amepata ajali akiwa na dereva wake lakini wote wamesalimika baada ya gari hilo kupinduka.

Utaona picha inaonyesha Sugu ambaye ni mbunge kupitia Chadema akiwa na dereva wake dakika chache baada ya ajali hiyo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic