Kocha Mkuu wa Arsenal,
Arsene Wenger amesema wala hawana mpango wa kumsajili kiungo Isco wa Real
Madrid.
Kumekuwa na taarifa
mfululizo za usajili kwamba Arsenal inamhitaji kinda huyo.
Wenger ambaye alizungumzia
wakati akielezeamechi ya Arsenal dhidi ya Stoke, ameamua kulitolea ufafanuzi
zaidi kwamba hawana mpango na Mhispania huyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment