Uzinduzi
wa filamu ya Daddy’s Wedding iliyosimamiwa na kuongozwa na Mtanzania Honeymoon
Mohammed, umefana vilivyo.
Mtanzania
huyo anayeishi nchini Marekani, ameongoza filamu hiyo ambayo Watanzania kadhaa
nyota kama Jenerali Ulimwengu, Banana Zorro na wengine wameigiza.
Wadau
walipata nafasi ya kuiangalia filamu hiyo na baada ya hapo kila mmoja alitoa
maoni yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment