SIMBA IMEENDELEA NA MAZOEZI KWENYE KAMBI YA JESHI ILIYO ENEO LA DEGE NJE KIDOGO YA JIJI LA DAR ES SALAAM, LEO. CHINI YA KOCHA MKUU, GORAN KOPUNOVIC NA MSAIDIZI WAKE, SELEMANI MATOLA, SIMBA WALIPATA MAZOEZI YA KASI, NAMNA YA KUIPANGUA NGOME YA TIMU PINZANI PIA USHAMBULIAJI WA PASI ZA HARAKAHARAKA. ANGALIA MWENYEWE.
0 COMMENTS:
Post a Comment