PIRES, LEHMAN, KEOWN, KEOWN WAREJEA TENA ARSENAL Wakali wa enzi hizo Arsenal ambao waliifanya timu hiyo kuwa moto wa kuotea mbali, walirejea klabuni hapo na kukutana tena moja. Wakali hao Robert Pires, Jens Lehmann, Martin Keown, Ray Parlour, Lauren na Sol Campbell.
0 COMMENTS:
Post a Comment