February 23, 2015



Licha ya kuwa na jukumu zito dhidi ya man City katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, wachezaji wa Barcelona wakiongozwa na Lionel Messi waliamua kujirusha usiku klabu.


Messi akiwa na Gerrard Pique pamoja na swahiba wake, Cesc Fabregas ambaye sasa anakipiga Chelsea.

Mke wa Fabregas na mpenzi wa Messi nao waliungana na waume zao usiku huo.
Saa moja baadaye Messi na kikosi cha Barcelona walisafiri hadi Manchester, England tayari kwa kazi dhidi ya Man City.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic