March 29, 2015


Manny Pacquiao ameamua kukunua jumla la kifahari nchini Marekani na atalitumia kama makazi wakati wa maandalizi yake kabla ya kumvaa Floyd Mayweather Mei 2, mwaka huu.


Jumla hilo lina thamani ya pauni milioni 8.4 na liko katika eneo la mastaa kwenye mji wa Beverly Hills.
 
Jumla hilo lenye vyumba saba, bwawa la kuogelea, sehemu tatu maalum za kupumzukia na lina mpangilio mzuri na liko sehemu ambayo ni mlimani, moja ya sehemu zake za kupumzikia zinaweza kumfanya anayezitumia kuona sehemu kubwa ya mji huo.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic