Paul Gascoigne
haishi vituko, licha ya kusema ameacha ile tabia yake ya ulevi ‘mbwa’ lakini
wapi.
Juzi amebambwa
tena akiwa amenunua ‘kinywaji’ na kuficha kwenye mfuko huku akiwa anazuka
kwamba amenunua maji.
Gascoigne ‘Gazza’
amekuwa gumzo kutokana na ulevi wa kupindukia licha kuonekana ni shujaa wa timu
hiyo wakati akiichezea Tottenham na timu ya taifa ya England.
Juhudi za
kumdhibiti katika ulevi zinaonekana kutokana na kuonekana kuwa na mbinu nyingi
za kuhakikisha anaendelea kupata kilaji bila kutambulika.
0 COMMENTS:
Post a Comment