March 9, 2015


Kaka ameiokoa timu yake ya Orlando City kwa kufunga bao muhimu lililoisadia kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya New York.


Kikosi cha Kaka kilikuwa nyumbani dhidi ya New York anayoichezea mshambuliaji wa zamani wa Barcelona, David Villa.


Mashabiki walijitokeza kwa wingi zaidi katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Marekani maarufu kama Major League.

Kaka raia wa Brazil aliyewahi kung’ara akiwa na AC Milan kabla ya kwenda Real Madrid, alikuwa nyota katika mechi hiyo.


Orlando City (4-2-3-1): Ricketts 6; Ramos 6, Colin 5, Hines 7, Shea 7; Higuita 6, Okugo 6; Molino 6.5; Kaka 8, Neal 6 (Rochez 80); Rivas 6 (St. Ledger 90).

Subs not ised: Edwards Jr, Avila, Boden, Cascio, Ceren.
Booked: Shea, Molino, Higuita
Manager: Adrian Heath 6
New York City (4-4-1-1): Saunders 6.5; Williams 6, Wingert 6, Hernandez 6, Brovsky 6; Jacobson 6, Ballouchy 5.5 (Shelton 62), Grabavoy 6, Diskerud 7 (Velasquez 87); Villa 6.5; Nemec 6 (Calle 89).

Subs not used: Fitzgerald, Watson-Siriboe, Poku, Mullins.
Booked: Ballouchy, Hernandez, Brovsky
Manager: Jason Kreis 6
Referee: Alan Kelly 6.5 
Attendance: 62,510 











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic