March 14, 2015



MEZA KUU ILIYOONGOZWA NA RAIS WA TFF, JAMAL MALINZI IKIFUNGUA MKUTANO. KULIA NI KATIKA MKUU, MWESIGWA SELESTINE.
 Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unaendelea mkoani Morogoro.


Mkutano huo unawakutanisha wajumbe kutoka katika vyama vya mikoa pia wawakilishi wa klabu na waalikwa kama Mwenyekiti wa zamani wa TFF, Muhidini Ndolanga.
Mkutano huo ulianza kwa utambulisho, baadaye sala ya pamoja halafu waandishi wa habari wakaondolewa ndani ya ukumbi.
Huu unakuwa ni mkutano mkuu wa kwanza tokea uongozi wa Jamal Malinzi uingie madarakani.
RAIS WA SIMBA, EVANS AVEVA (KULIA)....

ALLY MAYAY (KULIA) AKIWA KATI YA WAJUMBE WALIOHUDHURIA...

NDOLANGA (KULIA) AKIWA KATIKA SAFU YA WAALIKWA...

MAKAMU MWENYEKITI WA YANGA, CLEMENT SANGA (KULIA)...

WAJUMBE WALIOHUDHURIA

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic