FULL TIME:
Yanga wanamtoa Telela wanamuingiza Nisar Khalfan
Dk 90, Tegete anakosa mabao mara mbili akiwa uso kwa uso na kipa.
Yanga wanamtoa Telela wanamuingiza Nisar Khalfan
Dk 90, Tegete anakosa mabao mara mbili akiwa uso kwa uso na kipa.
Dk
76, Barthez anaumia na kuanza kutibiwa ikiwa ni dakika moja baada ya kuokoa
shuti kali.
Dk 58 Javu anapiga shuti kali linagonga mwamba na kutoka.
Dk
56, Mandawa anaingia eneo la 18 la Yanga, anapiga shuti lakini Barthez anaokoa
na kuwa kona isiyo na manufaa.
Dk 53, Sherman peke yake na kipa, lakini anashindwa kufunga na beki anaokoa.Dk 51 Kagera wanamtoa Babu Ali anaingia mkongwe Malegesi Mangwa
Kipindi
cha pili kinaanza kwa kasi huku Yanga wakishambulia zaidi na kuwapa wakati
mgumu Kagera.
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA:GOOOOOOOOO Dk 39, Salum Kanoni anafunga kwa uzuri kabisa akimchambua Barthez.
PENAAAAT Dk 38 Atupele Greeen anaangushwa na mwamuzi
Yanga wako pungufu mtu mmoja kwa kuwa Twite anatibiwa.
Dk 36, Yanga wanamtoa Tambwe aliyeumia na nafasi yake inachukuliwa na Hussein Javu.
Dk
21, Tambwe anaingia ndani ya 18, lakini anashindwa kufunga.
GOOOOOO
Dk 14, Tambwe anaifungia Yanga bao safi kabisa baada ya Ngassa kuwazidi mbio
mabeki wa Kagera na kupiga krosi saafi.
Dk
14, Tambwe anaifungia Yanga bao lakini mwamuzi anasema ni mapumziko.
Dk
11, Kagera wanapata kona mbili mfulizo lakini hazijazaa matunda.
GOOOOOOOOOOO
Dk 8, Msuva anaipachika panalti hiyo vizuri.
PENAAAAATTTT
DK 6 Msuva anaangushwa ndani ya eneo la hatari na mwamuzi anasema ipigwe
penalti.
Lakini
Kagera Sugar wanajibu kwa ukali wakionyesha wako fiti na wamepania kushinda.
Yanga
wanaanza kwa kufanya mashambulizi makali.







DAIMA MBELE,NYUMA MWIKO.
ReplyDelete