Manchester United na
Liverpool zimeingia vitani kila moja ikipambana kumpata kiungo mshambuliaji wa
Sporting Lisbon ya Ureno, William Carvalho.
Sporting Lisbon iliyomkuza kisoka
Cristiano Ronaldo kabla ya kumuuza
Man United, imesema ili imuachiea Carvalho, inahitaji pauni milioni 35 tu.
Inaonekana litakuwa jambo
gumu kwa bei ya kiungo huyo haitashuka chini ya pauni milioni 30.
Hadi sasa hakuna yenye
uhakika wa asilimia mia kumpata.
0 COMMENTS:
Post a Comment