March 30, 2015

MMOJA WA MASTAA WA KUNDI LA TIP TOP CONNECTION LILILOANZISHWA NA ABDUL BONGE, MADEE (KATIKATI), AKIWA KATIKA MSIBA WA MSIBA WA ABDUL BONGE ALIYEFARIKI IKIDAIWA ALISUKUMWA INGAWA BADO HAIJAPATA UHAKIKA. WATU WENGI WALIJITOKEZA WAKATI WA MSIBA HUO MAGOMENI JIJINI DAR. BAADA YA HAPO MWILI WA MAREHEMU UMESAFIRISHWA KWAO MOROGORO KWA AJILI YA MAZISHI.

AFANDE KOBA KIMANGA ALIKUWEPO

MDOGO WA MAREHEMU, BABU TALE ALIKUWA HOI.


MAJONZI, KINA DADA WALISHINDWA KUJIZUIA 

BURIANI ABDUL BONGE....

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic