March 2, 2015

KIKOSI CHA NDANDA.
Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi katika viwanja vitatu tofauti siku ya Jumatano, Mkoani Morogoro katika uwanja wa Manungu, Turiani timu ya Mtibwa Sugar watawaribisha majirani zao timu ya Polisi Morogoro.


Katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi maafande wa JKT Ruvu watawakaribisha maafande wenzao timu ya Tanzania Prisons kutoka jijini Mbeya, huku timu ya Ruvu Shooting wakiwa katika Uwanja wa nyumbani Mabatini, Mlandizi kuwakaribisha timu ya Ndanda FC.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic